Search This Blog

Loading...

Nyumbani-Kigoma All stars

MAHAKAMA YA MAPENZI

Monday, February 04, 2013

KIGOMA ALL STAR-


Well done-Kigoma All stars wamrealise ngoma mpya inayoitwa nyumbani.... ni ngoma kali  ambayo hutojuta kudownload au kusikiliza...Hapa imeongezea suti ya mkali Ally Kiba  pamoja na Waliosikika kwenye ngoma ya Kigoma Cheki hapo juu usikilize na kuidownload pia kuna ngoma mpya ya member wa crew hilo linex iliyobeba ujumbe wa nguvu inayoitwa mahakama ya mapenzi.

No comments: