Search This Blog

Nyumbani-Kigoma All stars

MAHAKAMA YA MAPENZI

TECHNOLOGY

JE WAIJUA LAPTOP ISIYOTUMIA KIBODI (KEYBOARD)?

Kampuni ya Apple ya kimarekani imekuwa ya kwanza Duniani kuvumbua kompyuta ambayo haitumii kibodi. kampuni hii imeweza kuwa ya kwanza kuvumbua komptyuta hii ili kupunguza matumizi ya kibodi. Haya ni matokeo mazuri ambayo yamechochew na ushindani mkubwa kutoka katika kampuni za HP, ACER, LENOVO, SONY, SAMSUNG, ASUS, TOSHIBA, IBM, COMPAQ, DELL, SANYO, NEC.

Ushindani huu umewafanya Apple kubuni bidhaa hii ambayo inakuja kama mkombozi wa wale wote wanaoona uvivu kubonyeza kibodi kwa muda mrefu. Kompyuta hii ni mkombozi wako.


By Ibrahim (jibracom solution)

No comments: