Msanii wa bongo flava aliyekuwa kwenye utata na mabosi wake wa Tip top Connection Dogo janja ambaye alhamis alitua rasmi jijini Arusha na kutema cheche juu ya kile alichofanyiwa na kiongozi wa wa kambi ya Tip top iliyo na maskani yake Manzese jijini Dar-es-salaam.
Siku ya ijumaa Dogo Janjaro akiwa ndani ya studio za radio 5 katika kipindi cha funiko base kinachoendeshwa na Mc Julias Kamafa na kwanza alimtaka presenter huyo kumpigia simu mama yake mzazi ambaye alielezea vitu alivyokuwa akifanyiwa na Ma dee ikiwemo kupigwa na kudhalilishwa.....
Kwa muujibu wa dogo janja mwenyewe siku moja kabla ya tukio alipigiwa simu na madee na kuombwa kwenda kwenye show kibaha kwa mshkaji wa madee kwa malipo ya shilingi laki moja na aliporudi alfajiri alitakiwa kwenda shule kuchukua namba ya mtihani ila
No comments:
Post a Comment