Wanamuziki wa kitanzania wameendelelea kuonyesha kuwa ni lulu nje ya mipaka ya Tanzania baaada ya jana AY na FA kufanya show ya nguvu ndani ya mjengo wa BBA....Hili limekuja siku chache baada ya mtumbuizaji bora wa tuzo za KTM Diamond naye kukamua vibaya sana ndani ya Jumba la kaka mkubwa aka BIG BROTHER....
AY na mwenzake FA ambao majuzi walitangaza kujitoa katika lebo ya B hitzz chini y produza Hermmy B walisahau migogoro yao na mabosi wao wa zamani na kuwapagawisha vilivyo watu watu walihudhuria show hiyo bondeni kwa mzee Madhiba.
Kwa mtazamo wetu sisi wanacommunity tunaamini mziki wetu umekuwa na ndio maana mialiko hiyo inazidi kuwa mingi hivyo tunawataka wakaze buti na wasibweteke kwa mafanikio hayo waliyoyapata.
No comments:
Post a Comment