Peter na Paul Okoye mapacha wa kinigeria wameendelea kuudhirishia uma wa mashabiki wa muziki duniani kuwa ni moto wa kuotea mbali mara baada ya video yao mpya ya Beautifull Onyinye waliomshirikisha bosi wa lebo ya Maybach Rick Ross kuwa hewani na kufanya vizuri ajabu......P square ambao wamekuwa na mlolongo wa mafanikio ikiwamo kusaini mkataba wa kuwa chini ya lebo ya Convict iliyochini ya msenegali anayetesa kimataifa Akon,kusaini mkataba na kampuni ya kusambaza kazi za mziki ya Sony kwa kusambaziwa kazi zao ulimwengu mzima pamoja na kununua ndege mpya ya kisasa kwa ajili ya kazi zao...Ngom hiyo yenye mahadhi kama yale ya no one like you inaanza kwa mtu mzima ross kuitambulisha lebo ya convict na baadae ni Maybach...Pia Rick ross ameonesha uwezo mkubwa sana katika kuchana ndani ya beat hiyo iliyokaa kiafrika zaidi.Big up P-Square.
No comments:
Post a Comment