MAHAKAMA YA MAPENZI
Saturday, August 18, 2012
AJIFUNGUA MTOTO MWENYE VICHWA VIWILI
Mwanamke mmoja nchini India amejifungua mtoto wa kike mwenye vichwa viwili na miguu zaidi ya miwili katikaka tukio lililotokea katika jimbo la Uttar Pradesh katika hospitali ya Aashirwad .Mtoto huyo ana vichwa viwili kwenye shingo moja na anatumia midomo yote miwili kulia..
Daktari wa hospitali alipojifungulia mwanmke huyo anasema hali hiyo isiyo ya kawaida iantokea mara moja kwa watoto wengi wanaozalia na husababishwa na genetic disorder.
Baba wa mtoto huyo Tilakdhari Yaday anasema huo ulikuwa uzao wao wa sitakwa yeye na mkewe huyo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment