Tarehe 16/08/2012 Peter na Paul Okoye waliachia ngoma yao mpya inayojulikan kwa jina la Alingo....Alingo imeachiwa muda ambao track ya Beautfully Onyinye ikiwa bado hot na inaendelea kutesa kwenye charts za radio na tv stations mbali mbali dunian.
P square wameingia kwenye kashfa ya kuiba wimbo wa msanii Timaya unaoitwa shake your Bum.
Baadhi ya wanigeria waliotoa maoni yao wanasema ni dhahiri mapacha hao wameiga wimbo huo....Sikiliza nyimbo zote halafu uotoe coment zako...
No comments:
Post a Comment