Search This Blog

Nyumbani-Kigoma All stars

MAHAKAMA YA MAPENZI

Tuesday, July 31, 2012

Shigongo HAS NEVER, AND HE NEVER APOLOGISE TO 'Dr. Jose Chameleone'!

Hii ni picha na maneno ya kuomba radhi yanayodaiwa kutolewa na Eric Shigongo ambayo yamewekwa kwenye mtandao wa Uganda, ikiwa ni propaganda za kitoto za Chameleone za kujaribu kujikosha kwa mashabiki zake. Awali, picha na maneno haya yaliandikwa kwa Kiswahili kibovu na kuwekwa kwenye Fan Page ya Chameleone kwenye facebook, alipoona watu wameshitukia Kiswahili kibovu kilichotumika ambacho hakiwezi kuwa cha Shigongo, wakaamua kuondoa pamoja na taarifa zingine za kipuuzi alizokwisha weka. Hivi sasa picha hii imebadilishwa na kuandikwa kwa Kiingereza cha Kiganda na kisha kuwekwa kwenye mtandao wa Uganda, mtaona ni kiasi gani zinafanyika kampeni za kutaka kumsafisha Chameleone ambaye alishachafuka siku nyingi! Shigongo HAS NEVER, AND HE NEVER APOLOGISE TO 'Dr. Jose Chameleone'!

DAWA ZA UKIMWI ZAANZA KUTUMIKA



DAWA mpya inayokinga na kuua kwa kasi virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Ukimwi, tayari imeshaanza kutumika, hii ni kwa mujibu wa ripoti za mitandaoni.

Dawa hiyo ambayo toleo lake la kwanza ipo kwenye muundo wa vidonge, inaitwa Truvada na tayari imekwishaanza kufanya kazi nchini Marekani.

Kitendo cha Truvada kukubalika na Mamlaka ya Usimamizi wa Chakula na Dawa nchini Marekani (FDA), kinatoa picha kuwa sasa vidonge hivyo vinaweza kuuzwa sehemu yoyote duniani.
Source;Global publishers

Saturday, July 28, 2012

UFUNGUZI WA OLIMPIKI WAFANA LONDON

Wafupishwa kwa muda ili kukabiliana na tishio la usafiri na mvua.
Mashindano ya Olimpiki ya 2012 jan usiki yalizinduliwa rasmi jana huku Tanzania ikiwakilishwa na wanamichezo sita.Sherehe hizo zilizoghrimu paundi milioni 27 zilifupishwa kwa muda wa dakika 30 kuhofia watu kukosa usafiri  kutokana na hofu ya kunyesha mvua lakini kulikuwa na manyunyu tu.Mashindano hayo yaliyoshirikisha mataifa 250 kutoka ulimwenguni kote yameweka rekodi kwa kila taifa linaloshiriki kuwa na washiriki wa kike. Macho na masikio ya watu wengi  yapo katika mchezo ya mbio fupi ambapo taifa la Jamaika litakuwa katika vita kali  kati ya Usain Bolt na Yohane Blake...... na pia katika soka ambapo michezo hiyo ilianza tangu jumatano ambapo taifa la brazili linaonekana kutaka kufanya vizuri .Katika mashindano hayo tani saba za dhahabu,shaba na fedha zilizochimbwa  Mongolia na Utah zitatumika kuwatunza washindi huku zikiwa chini ya ulinzi mkali chini ya jumba la malikia.
                                   Angalia video ya ufunguzi wa Olimpiki ya London 2012       

SAKATA LA DR.CHAMELION NA SHIGONGO LACHUKUA SURA MPYA

Sakata la msanii maarufu Afrika mashariki la kuitapeli kampuni ya global publishers katika tamasha la matumaini lililofanyika wiki mbili zilizopita jijini Dar -es salaam,limechukua sura mpya baada ya
DJ mkongwe nchini, John Dilinga Matlou ‘DJ JD’,jana nae alieweka wazi utapeli aliowahi kufanyiwa miaka saba iliyopita na mwanamuziki raia wa Uganda, mwenye hulka ya utapeli, Joseph Mayanja Chamelone.
                                                                             DJ JD
                       
JD, amewaeleza waandishi wa habari leo, waliokusanyika kwenye Hoteli ya The Atriums kwamba Chameleone siyo mtu mzuri anapokubaliana na mapromota, kwani hata yeye aliwahi kumtapeli dola za kimarekani 3,000, mwaka 2005.
                               Erick Shigongo mkurugenzi wa global publishers akiwa na DJ JD na meneja wa kampuni yake Abdalah mrisho.

Alisema mbele ya waandishi wa habari: “Niliwasiliana na Chameleone moja kwa moja, akanikubalia kwenye tamasha langu lililokuwa linaitwa Wakilisha. Nilimlipa dola 3,000, baada ya kupokea fedha, hakuonekana tena na hata simu yangu akawa hapokei.

Saturday, July 14, 2012

WALICOSEMA PSQURE KUHUSU MSIBA WA MAMA YAO


She Was Our Role Model' -Peter

'She Was My World' -Paul


Mrs. Okoye before her death was widely known as one of the major pillar and source of inspiration to the singing twin brothers (P-Square).
She had been in and out of the hospital for about four months before she eventually died.

She is survived by her Jos based husband, children; Ifeanyi, Henry, Jude, Lilian, Tony, Peter, Paul and Mary.

In the words of Peter, the eldest half of the P-Square twin brothers, their mother will be greatly missed, not just because she was their mother, but because she played a vital role in the success story of P-Square and remains their role model. "You know that she was a prayer warrior, so I don't need to tell you how she stood by us spiritually. Besides, she was the only one that believed in us when we decided to make a career out of music. She was our source of inspiration and our role model!

"I can remember that she used to sneak us out at night then to attend shows without the consent of our father who insisted that we must quit music to face our education,"
Peter said.

While Paul who has broken down since the news was broken to the family, his mum remains his world and everything. "My mum remains my world and my everything. She has done so much for us and can't just have enough of us. She was the pillar behind us and was there when we were nobody till now when we are two of the best in the country. It's indeed a sad one and I would forever miss her!"

A condolence register was opened in her honour at P-Square's Omole Phase 1 residence and several friends and colleagues of the multiple award-winning singers have been visiting the house to commiserate with the Okoye family.