Search This Blog

Nyumbani-Kigoma All stars

MAHAKAMA YA MAPENZI

Thursday, August 02, 2012

BREAKING NEWZ!!!!!MAHAKAMA YASEMA MGOMO WA WALIMU SI HALALI

Mahakama kuu divisheni ya kazi imetoa hukumu kuhusiana na mgomo wa waalimu unaoendelea nnchi nzima na kusema kuwa mgomo huo si halali na walimu wote wanatakiwa kurudi kazini mara moja.Hukumu hiyo imesomwa na jaji Sofia Wambura kutokana na mvutano uliokuwapo baina ya serikali waliokuwa wanadai mkesi ipo mahakamani hivyo mgomo ungekuwa batili wakati walimu waliona ni halali kugoma.Taarifa zaidi tutakuletea baadae.

No comments: