MAHALU ASHINDA KESI
Breaking
News:
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo
imemwachia huru aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini Italia, Prof. Costa
Mahalu baada ya kutopatikana na hatia katika makosa yote sita yaliyokuwa
yanamkabili.Mahalu aliyekuwa akikabiliwa na kesi ya ubadhirifu wa fedha za umma alikuwa akitetewa na wakili mkongwe Mabere Marando na pia aliwahi kutolewa ushahidi na aliyekuwaraisi wa awamu ya tatu Benjamin William Mkapa.
No comments:
Post a Comment