Pages
COMMUNITY
POLITICS
DOWNLOADS
TECHNOLOGY
CONTACT
VIDEOZ
FASHIONS
SPORTS
Search This Blog
Nyumbani-Kigoma All stars
MAHAKAMA YA MAPENZI
Saturday, August 11, 2012
PETER WA P SQUARE APATA MTOTO MWINGINE
Jana tarehe 10 Peter Okoye wa P-squareamethibitisha kuwa na mtoto mwingine naLola Omotayo mama wa mtoto wake kwanza, wawili hao tayar wlikuwa na mtoto mmoja wa miaka 3 anayeitwa Cameroz
Pichani Peter akiwa na mwanawe na mkewe
.
Hii imekuwa kama faraja kwa Peter kufuatia kuondokewa na mama yao kipenzi aliyefariki kwa ugonjwa wa moyo mwezi uliopita.
Kwenye mtandao wake Peter ambaye yeye na pacha mwenzake Paul wanatamba na wimbo wao wa beautyfull Onyinye ulionekana kama ifuatavyo....
Peter Okoye
@
PeterPsquare
So Happy!!! We are expecting another child!. Thank God for the gift of life.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment