Search This Blog

Nyumbani-Kigoma All stars

MAHAKAMA YA MAPENZI

Tuesday, August 07, 2012

NEW GOONER


Hatimaye klabu ya Arsenal imamtagaza  Santiago Cazorla Gonzalez kuwa mchezaji wao mpya kwa mkataba wa muda mrefu kutoka Malaga...Cazorla mchezaji bora wa hispania mwaka 2007 amesaini mkataba wa muda mrefu na washika bunduki wa Ashburton kwa ada ambayo haijatajwa...Mchezaji huyo anaungana na wahispania  Mikel Ateta na Ignas Miquel waliopo kikosi cha kwanza na pia inasemekana yumo katika kikosi kinachoondoka mchana wa leo kwenda ujerumani kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Fc Cologne wikiendi hii pamoja na wachezaji walioachwa london wakati wa ziara ya Asia kama  Lukas Podolski,Oliver Giroud,Per Metersacker,Laurent Koncienly,Robin Van Persie,na Andrey Arshavin.

No comments: