Search This Blog

Nyumbani-Kigoma All stars

MAHAKAMA YA MAPENZI

Friday, August 31, 2012

MENEJA WA 50 CENT AFARIKI


: MediaTakeOut.com is sad to report that 50 manager Chris Lighty passed away earlier today. He was found outside his childhood Bronx, NY apartment - where he no longer lived - with a single gunshot wound to the head and a gun beside his body. Police suspect a suicide.
Here's what TMZ is adding:
According to sources close to Lighty, the hip hop mogul had been in an argument with his ex-wife and shot himself in the head.

We're told the couple got divorced last year and Lighty hadn't been the same since.
Chris is known in the industry as being one of the most INNOVATIVE business people hip hop has ever known. He's credited for putting together the Vitamin Water deal that brought Curtis "50 Cent" Jackson in excess of $50 MILLION.
HE WILL TRULY BE MISSED. REST IN PEACE BIG HOMIE!!

Wednesday, August 29, 2012

RAMBO APATA MSIBA MWINGINE

 Sylvester Stallone has suffered the loss of another loved one.
Six weeks after his 36-year-old son, Sage, died unexpectedly, the actor has lost his only sister. Toni Ann Filiti, the 48-year-old half-sister of “The Expendables 2” star, succumbed to lung cancer on Sunday. She died at their mother Jackie Stallone’s Santa Monica home after choosing to leave UCLA hospital.
“I was holding her in my arms,” Jackie, 90, told the New York Daily News. “I had just washed [her] face and told her how pretty she looked, and she just fell asleep. … She’s too young to go, but she wasn’t feeling any pai
Jackie, an astrologer and psychic, personally broke the news of Toni’s death to her famous son. “He said he can’t take any more pain,” she told the newspaper. “He said he’ll always be there for her son. ... What a terrible month – first Sage and now Toni. It’s hard. At least they’re together now in heaven.”
On July 13, the actor’s son Sage Moonblood Stallone was found dead in his Studio City, California, apartment. Authorities said there were no signs of foul play, but there were reportedly numerous pill bottles nearby. Sasha Czack, Sage’s mother and Sly’s first wife, said Sage was in pain after dental surgery. A toxicology report is pending.
After Sage’s death, Sly took an extended family vacation, traveling to Europe with his third wife, Jennifer Flavin, and their three daughters. He later joined his “Expendables 2” cast mates, including Arnold Schwarzenegger, Jean-Claude Van Damme, and Jason Statham to promote the action flick, which has been tops at the box office the past two weekends.
"It's tough. It's very tough," the 66-year-old told "Good Morning America" about the loss of his son. "It's a horrible situation, but time hopefully will heal and you try to get through it. It's just something that's a reality of life."
Unfortunately, it’s a reality he’s experienced a lot lately.

RASMI;MIT ROMNEY KUPAMBANA NA OBAMA

Mitt Romney ameteuliwa rasmi kama mgombea urais wa chama cha Republican katika kongamano la chama hicho huko Tampa, Florida.
Wajumbe kutoka majimbo yote ya Marekani walikusanyika kuthibitisha kumuunga mkono gavana huyo wa zamani wa jimbo la Massachusetts.
Atakabiliana na Barack Obama katika uchaguzi wa urais wa mwezi Novemba.
Kura ya maoni ya hivi karibuni inaonyesha wagombea hao wawili Bwana Romney na rais Obama wakipimana nguvu kwa karibu.
Bwana Romney, 65, alihitaji kupata japo kura za wajumbe 1,144 ili aweze kuteuliwa kama mgombea wa chama chake, na kura za kutoka jimbo la New Jersey zilimuweka "katika nafasi nzuri".
Dakika chache baadaye, mjumbe wa bunge la congress wa Wisconsin Paul Ryan akateuliwa rasmi kuwa mgombea wa kiti cha makamu wa rais wa chama cha Republican.
Fursa ya Ann Romney
Bwana Romney aliteuliwa na wajumbe ambao walikuwa wakitangaza kura za majimbo yao kwa sauti hadharani.
Kwa ujumla, Bwana Romney alipata kura 2,061, Spika wa bunge la waakilishi John Boehner alitangaza katika kongamano hilo.
Bwana Romney hakuwepo kwenye kongamano hilo, lakini alifuatilia kuhesabiwa kwa kura akiwa katika hoteli ya karibu yeye na mkewe.
Uteuzi wake huko Tampa unathibitisha rasmi kuidhinishwa na chama chake kufanya kampeni.
Waliozungumza kwenye kongamano hilo walimshambulia rais Obama.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya chama cha Republican Reince Priebus alisema rais hajawahi "kusimamia kampuni. Hajawahi hata kusimamia karakana."
Wakati huo huo, Bwana Boehner amesema: "utendaji kazi wa rais Obama si wa kiwango cha kusifiwa."
Siku ya Jumanne jioni, Ann Romney pia pamoja na Gavana wa jimbo la Carolina Kusini Nikki Haley na Gavana wa jimbo la New Jersey Chris Christie walizungumza.

Friday, August 24, 2012

EXCLUSIVE.............KERI HILSON MJAMZITO

 Tazama picha hii aliypopigwa Keri kipindi cha nyuma
 Hii ni picha aliyopigwa keri hivi karibuni
Picha hii pia imepigwa karibuni ila ikimuonesha keri kwa karibu zaidi na kuthibitisha kile ambacho mtandao wa media out umethibitisha kuwa  mwanadada huyo mrembo na kiongozi wa kundi la  Pussycat Dolls kuwa amenaswa na ujauzito ambao mpaka sasa haujathibitika kuwa ni wa boyfriend wake wa siku nyingi lewis Hamilton au  mkali wa r n b Treyz Songz ambaye alikuwa akimpigia mesele mrembo huyo menye miaka 30...Hali hii imetokea siku chache wakati Hamilton akiwa amekumbwa na kashfa kubwa za uhuni.....

SERENA WILLIAMS ATHIBIKA KUWA MMOJA KATI YA WANAWAKE WENYE MVUTO DUNIANI


Ukiangalia picha zifuatazo hutakuwa mbali na ukweli endapo utakubaliana na mtandao wa media take out unaoelezea urembo wa superstar wa tenes Serena wiliams.....Katika mtandao wa media out kuna heading inayosema 'its now official...Tennis Superstar is one of the bangiest woman on the Planet"Je ni kweli?
Ikumbukwe kuwa katika siku za karibuni Serena amekuwa akiteka media around the world kwa kitendo chake cha kuwa na mahusianoya kimapenzi na kijana ambaye ni mdogo sana kiumri....

Tuesday, August 21, 2012

EPL HIGHLIGHTS

Cheki page ya Sports kwa highlights za EPL kwa wiki yake ya kwanza

Saturday, August 18, 2012

P SQURE WATUHUMIWA KUKOPI NA KUPESTI


 Tarehe 16/08/2012 Peter na Paul Okoye waliachia ngoma yao mpya inayojulikan kwa jina la Alingo....Alingo imeachiwa muda ambao track ya Beautfully Onyinye ikiwa bado hot na inaendelea kutesa kwenye charts za radio na tv stations mbali mbali dunian.
P square wameingia kwenye kashfa ya kuiba wimbo wa msanii Timaya unaoitwa shake your Bum.
Baadhi ya wanigeria waliotoa maoni yao wanasema ni dhahiri mapacha hao wameiga wimbo huo....Sikiliza nyimbo zote halafu uotoe coment zako...
                                           vs
                                           

AJIFUNGUA MTOTO MWENYE VICHWA VIWILI



Mwanamke mmoja nchini India amejifungua mtoto wa kike  mwenye vichwa viwili na miguu zaidi ya miwili katikaka tukio lililotokea katika jimbo la Uttar Pradesh katika hospitali ya Aashirwad .Mtoto huyo ana  vichwa viwili kwenye shingo moja na anatumia midomo yote miwili kulia..
  Daktari wa hospitali alipojifungulia mwanmke huyo anasema hali hiyo isiyo ya kawaida iantokea mara moja kwa watoto wengi wanaozalia na husababishwa na genetic disorder.
 Baba wa mtoto huyo Tilakdhari Yaday anasema huo ulikuwa uzao wao wa sitakwa yeye na mkewe huyo.

Thursday, August 16, 2012

MGANDA AJENGEWA NYUMMBA NA DOLA ELFU 80 KWA KUSHINDA OLIMPIKI

 Nyumba aliyokuwa akiishi Kiprotich
Baada ya kurudi home, Maelfu ya waganda wamempokea Stephen Kiprotich mshindi wa medali ya dhahabu kwenye riadha ya Olympic 2012 ambapo ameifanya Uganda itangazwe mshindi wa medali hiyo baada ya miaka 40.
Kiprotich ambae ni askari magereza alieshinda kwenye mbio za wanaume jumapili iliyopita ndani ya Olypic 2012, amezawadiwa cheki ya dola za kimarekani elfu 80 ambazo zimetolewa na Rais Yoweri Museveni ambae pia amempandisha cheo mara tisa kwenye kazi yake ya uaskari Magereza.
Standard Media wameripoti kwamba mzigo ulikua mzito manake watu walipanga foleni kumpokea Stephen huko Entebbe akiwa amebebwa kwenye gari ambalo lilikua na plate namba iliyoandikwa UG
Waliofika kumpokea
Watu walikua wengi mpaka waliziba njia ambapo magari yaliyokua kwenye msafara yalikosa pa kupita wakati yakielekea ikulukumpeleka Stephen kunywa chai asubuhi na Rais Museveni.
Baada ya Kiprotich kupewa cheki yake ya dola elfu 80, alimuomba rais Museveni kuwajengea wazazi wake nyumba kaskazini mashariki mwa Uganda ambapo rais Museveni amekubali kujenga hiyo nyumba ya vyumba vitatu.
Kwenye line nyingine ni kwamba rais Museven ameahidi kwamba katika muda ujao, mwanamichezo yoyote wa Uganda atakaeshinda medali ya kimataifa, atakua analipwa shilingi shilingi milioni moja za Uganda kila mwezi.
Source;Millard Ayo


Wednesday, August 15, 2012

MADAKTARI WAMSTAAFISHA MUAMBA


Fabrice Muamba ameambiwa na madaktari kuwa anastahili kustaafu soka na Bolton wanatarajia kutangaza rasmi taarifa hizo.Muamba aliyesafiri kwenda Ubelgiji kwaajili ya upasuaji mdogo wa moyo ameshauriwa kuchukua uamuzi kutokana na hali yake kuonekana  haijatengemaa....Muamba aliyeanza maisha yake ya soka katika timu ya Arsenal kisha Birmigham Kabla ya kwenda Bolton kwa Paund milioni 5 alianguka uwanjani katika uwanja wa White Hert Line tarehe 17 march huku moyo wake ukisimama kwa dakika 78....
Fabrice Muamba alikimbilia Uingereza pamoja na baba yake akiwa na umri wa miaka 11 kuikimbia vita ya wenyewe kwa  wenyewe iliyokuwa ikiendelea nchini humo...Hata na hivyo kiungo huyo hakuwahi kuchezea timu ya Congo ila ameshachezea timu ya vijana ya Uingereza.

PROF J ARELEASE NGOMA MPYA

Professor Jay(The Heavy Weight MC) ameamua kuingiza mtaani(kupitia kila aina ya media inayoweza kuwafikia wananchi na mashabiki wa muziki) single inayokwenda kwa jina Hellow. Hii inakuwa single ya tatu kutoka katika album ya JaySco Dagamaambayo ingawa bado hajaamua kuitoa rasmi,ni wazi kabisa kwamba pengine itakuwa album bora kabisa kuwahi kutolewa nchini Tanzania na msanii kutoka kizazi kinachoitwa “Kizazi Kipya” au New Generation.
Hellow unatoka katika kipindi muafaka.Kama unafuatilia sindimba za starehe nchini Tanzania,kilichopo kwenye kona ni msimu mnene wa Fiesta.Hellow,bila shaka,inalenga katika kuhakikisha kwamba,mtaani kila mtu anamwambia mwenzake Hellow.
Hii ni production kutoka kwa Dully Sykes ambaye bila shaka utakubaliana nami kwamba ameitendea haki vilivyo chorus ya wimbo huu.Usikilize Hellow;Cheki juu kudownload....

Saturday, August 11, 2012

PETER WA P SQUARE APATA MTOTO MWINGINE

Jana tarehe 10 Peter Okoye wa P-squareamethibitisha kuwa na mtoto mwingine naLola Omotayo  mama wa mtoto wake kwanza, wawili hao tayar wlikuwa na mtoto mmoja wa miaka 3   anayeitwa Cameroz







Thursday, August 09, 2012

MAHALU ASHINDA KESI

Breaking News:
 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo imemwachia huru aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini Italia, Prof. Costa Mahalu baada ya kutopatikana na hatia katika makosa yote sita yaliyokuwa yanamkabili.Mahalu aliyekuwa akikabiliwa na kesi ya ubadhirifu wa fedha za umma alikuwa akitetewa na wakili mkongwe Mabere  Marando  na pia aliwahi kutolewa ushahidi na aliyekuwaraisi wa awamu ya tatu Benjamin William Mkapa.

HUKUMU YA MAHALU YAENDELEA KUSOMWA

Aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini ITALIA Costantine mahalu mwenye miwani akiwa na wakili wake mahakamani kisutu leo..Hukumu ya kesi hiyo ya ubadhirifu wa fedha za serikali inayomhusu mahalu ambaye mmoja wa mashaidi wake alikuwa raisi wa awamu ya tatu B.W.Mkapa bado iasikilizwa na thecommunitytz itakuletea hukumu hiyo.

Tuesday, August 07, 2012

NEW GOONER


Hatimaye klabu ya Arsenal imamtagaza  Santiago Cazorla Gonzalez kuwa mchezaji wao mpya kwa mkataba wa muda mrefu kutoka Malaga...Cazorla mchezaji bora wa hispania mwaka 2007 amesaini mkataba wa muda mrefu na washika bunduki wa Ashburton kwa ada ambayo haijatajwa...Mchezaji huyo anaungana na wahispania  Mikel Ateta na Ignas Miquel waliopo kikosi cha kwanza na pia inasemekana yumo katika kikosi kinachoondoka mchana wa leo kwenda ujerumani kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Fc Cologne wikiendi hii pamoja na wachezaji walioachwa london wakati wa ziara ya Asia kama  Lukas Podolski,Oliver Giroud,Per Metersacker,Laurent Koncienly,Robin Van Persie,na Andrey Arshavin.

Friday, August 03, 2012

NGASSA AANZA MAZOEZI SIMBA

Apewa Toyota Verosa na Mil 30/=

KIUNGO mshambuliaji, Mrisho Khalfan Ngassa leo asubuhi ametua rasmi na kuanza mazoezi katika timu  yake mpya, Mabingwa wa Tanzania Bara, Simba.
Ngassa alikuwa mmoja wa wachezaji wa Simba waliokuwa mazoezini kwenye ufukwe wa Coco jijini Dar es Salaam.
Mashabiki kibao walijitokeza kumshuhudia kiungo huyo ambaye amejiunga Simba kwa kulipwa dau la Sh milioni 30 pamoja na gari aina ya Toyota Verossa lenye thamani ya Sh milioni 18.
Baadhi ya mashabiki waliokuja eneo la tukio ni vijana waliokuwa katika mlolongo wa kuwania kushinda shindano la muziki la BSS zilizokuwa zikiendelea katika eneo hilo.
Ngassa alionekana kuwa mwenyeji tu na alifanya mazoezi vizuri kwa ushirikiano na wenzake. Mazoezi hayo yalikuwa chini ya Kocha Msaidizi, Richaed Amatre raia wa Uganda.
Simba imeilipa Azam kitita cha Sh milioni 25 ili kumchukua Ngassa ambaye amekuwa akidai hana raha 
.

                                                      Cheki page ya sports kwa picha zaidi

Thursday, August 02, 2012

BREAKING NEWZ!!!!!MAHAKAMA YASEMA MGOMO WA WALIMU SI HALALI

Mahakama kuu divisheni ya kazi imetoa hukumu kuhusiana na mgomo wa waalimu unaoendelea nnchi nzima na kusema kuwa mgomo huo si halali na walimu wote wanatakiwa kurudi kazini mara moja.Hukumu hiyo imesomwa na jaji Sofia Wambura kutokana na mvutano uliokuwapo baina ya serikali waliokuwa wanadai mkesi ipo mahakamani hivyo mgomo ungekuwa batili wakati walimu waliona ni halali kugoma.Taarifa zaidi tutakuletea baadae.